Mkuu wa wilaya ya Rorya Mhe. JUMA CHIKOKA akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime Mhe.Kanali Maulid Hassan Surumbu na Tayari kuukimbiza katika miradi mbali mbali wilayani humo.
Kauli mbiu ya mwenge wa uhuru 2024 ni “TUNZA MAZINGIRA, SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA UJENZI WA TAIFA.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa