Tarehe ya Kuwekwa: July 29th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Rorya Mhe. JUMA CHIKOKA akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime Mhe.Kanali Maulid Hassan Surumbu na Tayari kuukimbiza katika miradi mbali mbali wilayani humo.
...
Tarehe ya Kuwekwa: March 15th, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Technolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye amezindua mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa na Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) Kupitia ruzuku inayotolewa na ...
Tarehe ya Kuwekwa: April 26th, 2024
Maafisa Mapato wa halmashauri ya Rorya wakiendelea na majukumu yao ya kuhakikisha wanakusanya mapato ya Mnada wa Randa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Rorya kazi iendelee............